img

Shirika la Taifa la Uvuvi laja na mikakati mipya

October 12, 2020

Na MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM SHIRIKA la Taifa la Uvuvi (TAFICO), limeanza kujipanga upya ili kuhakikisha sekta ya uvuvi inashika kasi na kutoa ajira zaidi. Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mwishoni wa wiki waliotembelea makao makuu ya shirika hilo, Kigamboni, Dar es Salaam, Kaimu Meneja Mkuu wa TAFICO, Esther Mulilya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *