img

Pili kunogesha kitchen party Gala kwa vyakula vya uswahilini

October 12, 2020

BEATRICE KAIZA Msanii wa vichekecho nchini, Gladness Kifaluka ‘Pili’ ametambulisha rasmi vyakula vya uswahilini ‘PiliGallina’ akishirikiana na ‘KitchenpartyGala’ Akizungumza na Mtanzania Digital jana, alisema kuwa vyakula vya uswahilini ni msosi ambao unapendwa na watu wengi ila wanashindwa kuvipata sehemu zuri na yenye usafi ndio maana ameona ni vema kuwapa mashabiki zake kile kitu roho inapenda,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *