img

Morgan Heritage waanza kusaka vipaji Afrika

October 12, 2020

CHRISTOPHER MSEKENA KUNDI nyota la muziki nchini Jamaica, Morgan Heritage, limeanza kutekeleza mradi wake wa kusaka vipaji vya muziki barani Afrika kwa kumsaini msanii wa Nigeria, Fayross kwenye lebo yao, CTBC Music Group. Akizungumzia ujio wa fursa hiyo msemaji wa Morgan Heritage, Mojo alisema lebo ya CTBC Music Group imeungana na Sony Music katika kusambaza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *