img

Meridian Bet, Lions Club Zasaidia Matibabu Macho Bure.

October 12, 2020

Kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet na klabu ya Lions, zimesaidia kampeni ya upimaji,matibabu na ushauri nasahaa ya magonjwa ya macho, sukari na shinikizo la damu, yaliyotolewa bure jana Jumapili kwenye hospitali ya Polisi Kilwa road, Dar es Salaam. Kampeni hiyo iliyollenga kutoa miwani bure kwa wagonjwa ambao madaktari waliwataka kutumia baada ya vipimo,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *