img

Kate Kambi aiweka wazi ‘Mkombozi’

October 12, 2020

PRETORIA, AFRIKA KUSINI MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye gospo kutoka Pretoria, Afrika Kusini, Kate D Kambi, ameendelea kuwaomba wapenzi wa muziki huo kusikiliza na kutafakari ujumbe muhimu uliopo ndani yake. Akizungumza na MTANZANIA, Kambi alisema ndani ya wimbo Mkombozi ameimba visa vya kweli ambavyo vipo kwenye vitabu vitukufu vikionyesha jinsi Mungu amekuwa akiwakomboa wanadamu. “Wimbo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *