img

Jamii yaaswa matumizi ya simu janja

October 12, 2020

Na FARAJA MASINDE – DAR ES SALAAM ILI kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa watoto, wazazi wametakiwa kuhakikisha simu janja (Smartphone), wanazowanunulia watoto wao kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali mtandaoni wanaweka programu maalumu kudhibiti maudhui yasiyoyofaa kwa watoto wao. Akizungumza na Dar es Salaam jana, Meneja Mauzo wa Kampuni ya Broad Security Technologies inayojishughulisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *