img

Z’bar yaanza kutumia teknolojia ya kupimia Corona

October 11, 2020

Na KHAMIS SHARIF-ZANZIBAR WIZARA ya Afya Zanzibar imeanza kutoa huduma za uchunguzi wa virusi vya maradhi ya Covid -19 kwa wananchi na wageni wanaoingia nchini kwa kutumia mashine maalum ya kuchunguzia maradhi ya mripuko. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Huduma za Uchunguzi wa Maradhi katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Dk. Msafiri Marijani amesema,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *