img

Ubelgiji kusaidia wapinga adhabu ya kifo

October 11, 2020

Na SABINA WANDIBA Na LILIAN SANGA-DAR ES SALAAM UBALOZI wa Ubelgiji nchini Tanzania, umeahidi kusaidia kuziwezesha taasisi zitakachokuwa tayari kupaza sauti zao kupinga adhabu ya kifo duniani. Akizungumza katika siku ya maadhimisho ya 18 ya kupinga adhabu ya kifo duniani, Balozi wa Ubelgiji nchini, Peter Van Acker amesema kuwa, Serikali ya Ubelgiji inaungana na mataifa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *