img

Serikali yawaahidi wawekezaji kutatua changamoto zao saa 24

October 11, 2020

Na CLARA MATIMO- MWANZA, SIMIYU SERIKALI  imesema ipo tayari  kupokea wawekezaji muda wowote  katika sekta mbalimbali  pamoja na kusikiliza changamoto zao ili  waweze kufanya biashara katika mazingira mazuri. Hayo yalibainishwa jana na Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Dk. Maduhu Kazi,  baada ya kupokea shule ya sekondari  iliyojengwa katika  Kijiji cha Bugatu Wilaya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *