img

Rekodi zaibeba Stars ikikabili Burundi leo

October 11, 2020

NA SOTHENES NYONI-DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo itashuka dimbani kuumana na Burundi, katika pambano la kirafiki la kimataifa la kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa(Fifa), litakalochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika mchezo huo ambao unatarajia kupigwa kuanzia saa 10 kamili jioni atakuwa Waziri Mkuu,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *