img

Mzimu wa wanafunzi kujinyonga watikisa Kyela

October 11, 2020

Na IBRAHIM YASSIN-KYELA SAKATA la wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kyela Mkoani Mbeya kujinyonga,limeendelea kuumiza vichwa vya viongozi baada ya wiki iliyopita Grace Gowele (15) wa kidato cha pili na mkazi wa kitongoji cha Roma kukutwa amekufa kwa kujinyonga kwa kamba. Baada ya Grace, mwanafunzi mwingine wa kidato cha nne wa shule hiyo hiyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *