img

Marekani kumpeleka mwanamke wa kwanza mwezini 2024

October 11, 2020

WASHINGTON, MAREAKANI  SHIRIKA la anga la Marekani (Nasa) limetangaza rasmi mpango wake wa kurejea tena mwezini utakaogharimu dola bilioni 28 ifikapo mwaka 2024. Kama sehemu ya mpango unaojulikana kama Artemis, Nasa itawapeleka mwanaume na mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza tangu binadamu kufika huko mwaka 1972. Lakini mpango huo utategemea na iwapo Bunge la Marekani,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *