img

Chadema wataka NEC iweke wazi ilikochapisha karatasi za kupigia kura

October 11, 2020

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuweka wazi mambo matatu. Mambo hayo  kwanza ilikochapisha karatasi za kupigia kura, pili kutoa daftari ya kudumu la wapiga kura lenye maji na picha na tatu kuwaruhusu kukagua mfumo wa kuhesabu kura. Hayo yalibainishwa jana na Katibu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *