img

Muhongo Ahaidiwa kura za kishindo Musoma vijijini

October 10, 2020

SHOMARI BINDA, MUSOMA Wananchi wa vijiji vya Kata ya Mugango na Tegeruka vilivyopo jimbo la Musoma vijijini wameahidi kumchagua tena Profesa Sospeter Muhongo kwa kumpa kura za kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya kampeni kwenye vijiji vya Kwibara, Mayani na Kataryo, wananchi hao walisema bado,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *