img

Wasichana waliokimbia ukeketaji wapatiwa elimu kujikomboa

October 9, 2020

 MWANDISHI WETU-ARUSHA UKEKETAJI ni miongoni mwa vitendo vinavyokiuka haki za binadamu, ambapo huathiri afya kimwili na kiakili kwa mamilioni ya wasichana.  Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), wanawake waliokeketwa wanakabiliwa na hatari kubwa kiafya, ambapo uwezekano wa kupata maambukizi na kuvuja damu nyingi huwa ni mkubwa wakati wa kujifungua. Pia wana uwezekano mkubwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *