img

Wagonjwa wa afya ya akili waongezeka Muhimbili

October 9, 2020

AVELINE KITOMARY DAR ES SALAAMIKIWA kesho ni siku ya ugonjwa wa akili Duniani takwimu za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zimeonesha ongezeko la idadi ya wagonjwa wa afya ya akili hadi asilimia 10.8. Takwimu hizo zinaonesha kuwa kwa mwaka 2018/2019 idadi ya wagonjwa ilikuwa ni 29,166 huku mwaka 2019/2020 idadi ikipanda na kufikia 32,307. Akizungumza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *