img

‘Tymilyfe’ aiweka wazi LOCO

October 9, 2020

CHRISTOPHER MSEKENA KUTOKA jijini London, Uingereza msanii anayefanya poa pande hizo, Samson Otieno ‘Tymilyfe, amerudi kivingine na wimbo, LOCO. Akizungumza na MTANZANIA, Tymilyfe alisema baada ya mapumziko yaliyosababishwa na ugonjwa wa corona, amewaletea burudani mashabiki kupitia ngoma hiyo ya mapenzi. “Watu wengi sasa hivi wanataka burudani, nikaona niwape LOCO, huu ni wimbo ambao ninamsifia msichana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *