img

Rais wa Malawi aacha ujumbe wa ushirikiano

October 9, 2020

 MWANDISHI WETU– DAR ES SALAAM RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameondoka nchini huku akiacha ujumbe wa ushirikiano, baada ya kumaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu. Rais Chakwera aliondoka nchini jana baada ya kufanya mazungumzo na Rais Dk. John Magufuli Ikulu, Dar es Salaam juzi, kisha kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa kituo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *