img

Mwalimu mbaroni kwa kuingiza mamluki kufanya mtihani darasa la saba

October 9, 2020

 MOHAME HAMAD– MANYARA TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Orkitikiti, Kijiji cha Engong’ongare wilayani humo, Oscar Waluye kwa tuhuma ya kufanya udanganyifu katika mtihani wa darasa la saba uliomalizika jana nchini. Kamanda wa Takukuru Wilaya ya Kiteto, Holle Makungu, alisema mtuhumiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *