img

Laurence Badibe ana jambo lake kwa mashabiki

October 9, 2020

TOOWOOMBA, AUSTRALIA MWIMBAJI mahiri wa gospo nchini Australia, Pastor Laurence Badibe, ameweka wazi kuwa baada ya wimbo, Tobinela Roi Jesus, kufanya vizuri Ulaya, Marekani na Canada sasa ni zamu ya Afrika. Akizungumza na MTANZANIA, Badibe alisema wimbo huo wenye ujumbe wa kuishaiwhi jamii kumwimbia na kumtukuza Mungu, umefanyika baraka kwa watu wa matifaifa mbalimbali hivyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *