img

JPM awasha moto Dar

October 9, 2020

 FARAJA MASINDE Na NORA DAMIAN– DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli ameanza kuliangalia Jiji la Dar es Salaam kwa namna nyingine, baada ya kumwagiza Mkuu wa Mkoa, Aboubakar Kunenge abadilike na kuachana na upole. Amemtaka mkuu huyo wa mkoa awe mkali kwa lengo la kuhakikisha miradi ya jiji hilo inaenda vizuri, huku akiagiza kukamilika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *