img

Iran yaonya hatari ya kutokea ‘vita vya ukanda’

October 9, 2020

 TEHRAN, IRAN IRAN imeonya kuwa mapigano mapya kati ya majirani zake Azerbaijan na Armenia yanaweza kuongezeka na kuwa vita pana ya ukanda. Rais Hassan Rouhani alisema ana matumaini “ya kurejesha utulivu” katika eneo hilo kufuatia siku kadhaa za mapigano makali yanayosababishwa na eneo lenye mgogoro la Nagorno-Karabakh. Eneo hili ni sehemu rasmi ya Azerbaijan lakini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *