img

Harmonize kuachia albamu ya pili

October 9, 2020

 BRIGHITER MASAK I-DAR ES SALAAM  MSANII wa bongo fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambaye amaipa jina la High School.  Msanii huyo ambaye ni mmiliki wa kundi la Konde Music World Wide, amesema nyimbo zote kwenye albamu hiyo zimeimbwa kwa lugha ya Kiingereza.  Albamu ya kwanza ya msanii huyo inayojulikana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *