img

Takukuru yamshikilia mwalimu kwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani

October 8, 2020

Mohamed Hamad-Manyara Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Wilayani Kiteto mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mkuu wa shule ya msingi Orkitikiti, Kijiji cha Engong’ongare wilayani humo, Oscar Waluye kwa tuhuma ya kufanya udanganyifu wa mitihani ya darasa la saba inayoendelea kufanyika hapa nchini. Makungu alisema mtuhumiwa huyo akiwa ni mwalimu mkuu wa shule hiyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *