img

Star Times yaadhimisha wiki ya wateja kwa kukata keki na wateja wake

October 8, 2020

JEREMIA ERNEST KAMPUNI ya ving’amuzi ya Star Times imeadhimisha wiki ya wateja kwa kukata nao keki na kutoa zawadi katika makao makuu ya ofisi zao Mwenge Bamaga jijini Dar es Salam. Star Times ina miaka nane tangu kuanzishwa hapa nchini ikiwa ni kampuni pekee ya king’amuzi inayopatika zaidi ya bara moja. Akizungumza na wanahabari katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *