img

Prof. Mwakalila aleza mafanikio Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

October 8, 2020

Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam UONGOZI wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, umesema umepata mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali kwa kipindi cha miaka  mitano ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Dar es Salaam jana, Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila alisema kipindi cha miaka mitano,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *