img

Ndayiragije mawazo yote kwa Tunisia

October 8, 2020

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Etienne Ndayiragije, ameweka wazi kuwa, licha ya kuwa na kibarua mbele ya Burundi lakini akili na mawazo yake ni juu ya mchezo wao dhidi ya Tunisia. Stars itakuwa na kibarua ugenini cha kukabiliana na Tunisia, mchezo utakaochezwa Novemba 13 mwaka huu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *