img

Mbatia aahidi kushughulikia kero ya maji Vunjo

October 8, 2020

UPENDO MOSHA, MOSHI Mgombea Ubunge Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia amesema iwapo atapata ridhaa ya kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa awamu ya pili atahakikisha wananchi wote wanapata huduma ya maji Safi na salama. Mbatia ameyasema hayo katika mkutano wa adhara wa kampeni, uliofanyika kijiji cha Kiruweni, Kata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *