img

DC Mkuranga: OSHA imepunguza ajali kwenye maeneo ya kazi

October 8, 2020

MWANDISHI WETU MKUU wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Filbert Sanga amesema ukaguzi pamoja na elimu inayotolewa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) vimechangia kwa kiwango kikubwa kupunguza ajali katika sehemu za kazi katika wilaya yake. Sanga ameyabanisha hayo leo alipofanya ziara katika ofisi za OSHA za jijini Dar es Salaam,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *