img

Benki ya I&M yasheherekea wiki ya huduma kwa wateja

October 8, 2020

Dar es Salaam Benki ya I&M Tanzania imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutambua mchango muhimu unaotolewa na wafanyakazi wake katika kuwahudumia wateja wao kwa viwango vya juu na kuhakikisha kuwa wanakuwa wenye furaha wakati wote. Hafla hiyo ilifanyika maktaba square jijini Dar es Salaam katika makao makuu ya benki hiyo, ikiambatana na shughuli,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *