img

Serikali yatia saini mikataba mipya Tasaf

October 7, 2020

Na RAAMADHAN HASSAN -DODOMA SERIKALI ya Tanzania imesaini mikataba miwili ya msaada na Serikali ya Uswisi yenye thamani  ya Sh bilion 44.1  kwa ajili ya kugharamia Mpango wa Awamu ya Pili wa kunusuru Kaya Maskini (Tasaf)  na Mfuko pamoja  wa Afya kwa Mwaka wa Fedha 2020-2021. Akizungumza na waandishi wa Habari jana jijini hapa  wakati wakutiliana  saini mikataba hiyo, Katibu Mkuu wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *