img

Dk Mwinyi aahidi kupambana na ubaguzi

October 7, 2020

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema endapo atakuwa rais wa Zanzibar atapambana na vitendo vyote vya ubaguzi wa aina mbalimbali uliopo katika jamii. Alisema ili kuonfosha vitendo vya ubaguzi visiwani humo ni kukiri na kukubali kuwa vitendo hivyo vipo Kisha kuchukua hatua ya pili ya kuondosha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *