img

Daktari aeleza faida za bilinganya kuongeza uoni

October 7, 2020

Na  AVELINE  KITOMARY – DAR ES SALAAM DAKTARI Bingwa wa Macho katika Hospitali ya Macho (CCBRT)  Dk Cyprian  Ntomoka  amesema kuwa utafiti uliofanywa unaonesha kuwa Bilinganya inauweza kuongeza kiwango cha uoni endapo itatumiwa katika milo. Dk Ntomoka aliyasema haya jana  jijini Dar es Salaam wakati wa mahojiano maalum na Gazeti la MTANZANIA  ambapo alisema ni,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *