img

Shirika lahimiza ulaji wa mbogamboga

October 6, 2020

Na JANETH MUSHI – ARUSHA SHIRIKA lisilo la kiserikali la Agri Thamani Foundation, limeingia makubaliano na kituo cha utafiti wa mbogamboga na matunda cha kimataifa cha World Vegetable Center, kuhamasisha uzalishaji na ulaji wa mboga kuimarisha lishe na kutokomeza udumavu na utapiamlo. Agri Thamani iliyojikita kutokomeza udumavu na utapiamlo, imeingia mkataba huo wa miaka mitano,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *