img

Samatta atua kuongeza mzuka Taifa Stars

October 6, 2020

Na WINFRIDA MTOI-DAR ES SALAAM KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kimeingia kambini jana, huku nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta, akitarajiwa kuwasili leo kuungana na wenzake. Stars inajiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Burundi, utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam. Samatta anawasili akiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *