img

Nimeridhishwa ujenzi wa kivuko Mafia – Majaliwa

October 6, 2020

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia. Ujenzi wa kivuko hicho chenye urefu wa mita 36 na upana mita 12, umefikia asilimia 95 na kina uwezo wa kubeba,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *