img

‘Mr Kuku’ aendelea kusota gerezani

October 6, 2020

NA KULWA MZEE-DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA,  Tariq Machibya (29) maarufu ‘Mr Kuku’, anaendelea kusota gerezani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kutakatisha Sh bilioni 17 kwa kuendesha biashara ya upatu bila leseni. Kesi hiyo ilikuja jana kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon alidai, Upelelezi haujakamilika hivyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *