img

Kuelekea Muendelezo wa UEFA Nations League.

October 6, 2020

Hispania Kupimana Nguvu na Ureno! Katika mchezo wa kirafiki, Hispania watawakaribisha Ureno ukiwa ni mchezo wa kupimana nguvu kuelekea Muendelezo wa UEFA Nations League. Nani atamzidi mwenzake nguvu. Ni Mhispania au Mreno? Kwa ujumla, katika michezo 36 waliyowahi kukutana – Mreno amefungwa mara 17, Mhispania amepigwa mara 6 na wametoka sare mara 13. Kati ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *