img

Klopp: Sijawahi kupata kichapo kama hiki

October 6, 2020

BIRMINGHAM, ENGLAND KOCHA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini England, Liverpool, Jurgen Klopp, ameweka wazi kuwa, hajawahi kupata kichapo kikubwa kama alichopata juzi dhidi ya Aston Villa cha mabao 7-2. Klopp amesema, tangu ajiunge na klabu hiyo 2015, amepoteza michezo mbalimbali lakini haijawahi kutokea kufungwa mabao mengi kama ilivyotekea juzi. Hata hivyo, Aston Villa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *