img

Anayetuhumiwa kumkata kiganja mkewe akamatwa

October 6, 2020

NA GRACE MACHA – ARUSHA MFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Ombeni Alfayo, anayetuhumiwa  kumshambulia mke wake, Veronica Kidemi (30) kwa kumkata kwa kitu chenye ncha kali na kutenganisha mkono na kiganja cha mkono wa kulia amekamatwa na kufikishwa Arusha. Upelelezi wa tuhuma zake umekamilika, na jalada lake limepelekwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *