img

Zawadi NT aichambua ‘Glory’

October 5, 2020

QUEENSLAND, AUSTRALIA MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili kutoka Australia, Zawadi NT, ameweka wazi kuwa wimbo wake mpya, Glory, umebeba ujumbe mzuri wa kumshukuru na kumtukuza Mungu. Zawadi mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemoksraia ya Kongo (DRC), ameliambia MTANZANIA kuwa wimbo huo ni wa kwanza tangu alipoanza kufanya huduma hiyo hivyo anahitaji kupata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *