img

Simba yaibomoa JKT Tanzania ikiisubiri Yanga Oktoba 18

October 5, 2020

 ASHA KIGUNDULA – DODOMA  SIMBA imeendeleza ubabe wake katika LigI Kuu Tanzania Bara msimu huu, baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji wao JKT Tanzania, mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma.  Simba iliuanza mchezo kwa kasi na kufanikiwa kuandika bao la kwanza dakika ya tatu kupitia kwa Meddie Kagere.  Kagere,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *