img

Rooney ampigia ‘debe’ Harry Kane

October 5, 2020

 LONDON, ENGLAND  NYOTA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, ameutaka uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unainasa saini ya mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane badala ya Jadon Sancho wa Borussia Dortmund.  Dirisha la usajili barani Ulaya linatarajiwa kufungwa usiku wa kuamkia kesho, hivyo klabu mbalimbali zinapambana kuhakikisha zinakamilisha sajili zao kabla ya saa 5:59, usiku. ,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *