img

Rais Donald Trump aendelea kupata nafuu

October 5, 2020

 WASHINGTON, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump “anaendelea vizuri” baada ya kuwa hospitali kwa usiku mmoja akiwa anaendelea kupata matibabu ya virusi vya ugonjwa wa corona. Daktari wake binafsi, Sean Conley amesema hapokei matibabu ya oksijeni na pia ndani ya kipindi cha saa 24, homa imeonesha kuisha. Dk. Conley aliashiria matumaini makubwa kwa afya ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *