img

Nicki Minaj apata mtoto wa kike

October 5, 2020

 CALIFORNIA, MAREKANI  MAMA wa rapa Nicki Minaj, Carol Maraj amethibitisha kuwa msanii huyo amejifungua mtoto wa kike mwishoni mwa wiki iliopita.  Nicki Minaj mwenye umri wa miaka 37, amefanikiwa kupata mtoto huyo wa kwanza na mume wake Kenneth Petty, lakini hakuweka wazi jinsia yake hadi juzi jumapili mama yake alipoamua kuweka wazi kupitia ukurasa wake,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *