img

‘I’m In Love’ ya Jando yaingia mtaani

October 5, 2020

TEXAS, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayeiwakilisha vyema Afrika Mashariki huko Texas, Marekani, Soso Jando, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea ngoma yake, I’m In Love aliyoiachia hivi karibuni mtandaoni. Akizungumza na MTANZANIA, Jando alisema baada ya kimya cha muda mrefu ameamua kurudi na wimbo huo ambao ana amini utakata kiu ya mashabiki zake. “Nipo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *