img

Chadema yaridhia NEC kumzuia Lissu

October 5, 2020

 FARAJA MASINDE– DAR ES SALAAM KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo(Chadema), imeridhia adhabu iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumfungia siku saba mgombea wake wa urais, Tundu Lissu. Hatua hiyo, inakuja baada ya chama hicho kueleza sasa, Lissu wake ataanza kufanya kazi za kijamii ambazo atapangiwa na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *