img

….Biden ndiye mtu anayeweza kumuondoa madarakani

October 5, 2020

 WASHINGTON, Marekani JOE Biden ndiye mtu pekee anayeweza kumuondoa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani ambaye anawania miaka minne zaidi katika Ikulu ya White House. Kwa wafuasi wake, yeye ni mtaalamu wa sera za kigeni na mzoefu wa miongo kadhaa Marekani, katika kuhutubia umma kwa haiba rahisi inayeweza kufikia watu wa kawaida. Biden ni mtu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *