img

Baraka The Prince awasamehe Ali Kiba, Seven Mosha

October 5, 2020

 GLORY MLAY-DAR ES SALAAM  MSANII wa bongo fleva, Baraka The Prince, amesema amewasamehe Ali Kiba na meneja wake wa zamani wa Rockstar, Seven Mosha, kwa kudai kuwa hawawezi kumlipa kwa kile walichomfanyia.  Akizungumza na MTANZANIA jana, Baraka The Prince, alisema ameamua kusamehe, kusahau na kutofuatilia yaliyotokea japo anaamini waajiri wake wa zamani bado wana kinyongo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *