img

Simba, JKT Tanzania vita ya kihistoria

October 4, 2020

NA SOSTHENES NYONI-DAR ES SALAAM LIGI Kuu Tanzania Bara, inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanjani tofauti hapa nchini. Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Simba itajitupa katika dimba la Jamhuri jijini Dodoma, kukabiliana na wenyeji wao JKT Tanzania, Bishara United itakuwa nyumbani Uwanja wa Karume mjini Musoma kuumana na Mtibwa Sugar, wakati ambao Azam,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *